Urban Pulse Creative Media video fupi inayo-onyesha ziara fupi iliyofanywa na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda soko la mboga na matunda, New Spitalfields, mjini London mwezi Juni 2013.
Habari hizi zinazodhihirisha pia udugu kati ya Kenya na Tanzania zimetayarishwa kwa ushirikiano baina ya Urban Pulse, Freddy Macha na Ubalozi wa Tanzania, Uingereza.
Habari zimetayarishwa kwa ushirikiano baina ya Urban Pulse, Freddy Macha na Ubalozi Wa Tanzania Uingereza.
Biashara za UK zinafanywa na "Corporates" sio wamachinga. Hilo soko ni soko la watu wa kima cha chini na wageni. Wenyewe wananunua vyakula kutoka "Supermarket" ambavyo vimekuwa "packed" kwa viwango.
ReplyDeleteI love it na naanza kutake initiave. naomba tujulushe information za kina tunaweza kuzipata wapi.
ReplyDeleteMi npo tanzania ... Ni graduate Wa chuo kikuu hapa tanzania naitaji kufanya kilimo biashara .... Nitapata wapi maelekezo zaidi ya maswali yangu kabla sijaanza kulima .... 0712419015
ReplyDelete