Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2013

    nimefurahi sana kumbe mziki wa bongo fleva ukiupiga kwa kutumia bendi unapendeza sana.itabidi mfanye hivyo sasa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2013

    Hao wazee ni hatari sana sana,yaani
    Ngoma inogile imechezwa na wakongwe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2013

    Daaaa ebwana we imependeza mnooo, nadhani wahusika wa nyimbo walijisikia vizuri sana kuona kilichofanyika hapa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2013

    T.I.D anaweza akawamind tuzo hamumpi alafu mnacheza nyimbo zake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...