Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...