WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JUMATATU ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI YA BARABARA YA DODOMA BABATI SEHEMU YA MAYAMAYA- BONGA (188.15 KM) NA BARABARA YA TUNDURU-MANGAKA-MTAMBASWALA (202.5 KM) INAYOFADHILIWA NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (ADB) PAMOJA NA SHIRIKA LA MAENDELEO LA JAPAN (JICA).
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKISOMA HOTUBA YAKE KABLA YA KUZINDUA MIRADI
HIYO MIKUBWA
MTENDAJI
MKUU WA TANROADS ENG.PATRICK MFUGALE AKIZUNGUMZA KABLA YA KUZINDULIWA KWA
MIRADI HIYO MIKUBWA
BAADHI YA WAHESHIMIWA WABUNGE WALIOHUDHURIA
KATIKA HAFLA HIYO YA UZINDUZI WA MIRADI HIYO YA BARABARA INAYOPITA KATIKA
MAJIMBO YAO WAKIMSIKILIZA WAZIRI WA UJENZI.
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIWA PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA DKT REHEMA
NCHIMBI KABLA YA KUZINDUA MIRADI HIYO MIKUBWA
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKISALIMIANA NA MBUNGE WA CHILONWA
MHESHIMIWA HEZEKIAH CHIBULUNJE WAKATI WA UZINDUZI HUO MJINI DODOMA
|
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
AKIZUNGUMZA NA ALIYEWAHI KUWA WAZIRI WA UJENZI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TATU
MHESHIMIWA MAMA ANNA ABDALAH MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI HIYO MIKUBWA YA
BARABARA.
WAZIRI
WA UJENZI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHIRIKI MBALIMBALI MARA BAADA YA
KUZINDUA MIRADI HIYO YA BARABARA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...