Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akizungumza na wageni mbali mbali waliokuwa wamehudhulia kwenye hafla ya Uzinduzi Channel mpya ya Zuku Swahili Movies,uliofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring,Jijini Arusha.Meneja huyo pia alizungumzia ubora wa king'amuzi  cha Zuku hasa katika mpango wa Zuku Pay TV.
Mchekesaji Maarufu nchini,Mzee Amri Athuman a.k.a King Majuto (kati) akiteta jambo na Mdau Maria Sarungi wakati wa Uzinduzi Channel mpya ya Zuku Swahili Movies,uliofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring,Jijini Arusha.Mzee Majuto ni Balozi wa Channel hiyo mpya.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2013

    huyo masai katinga na siraha yake kiunoni

    mwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...