Home
Unlabelled
ajali ya lori yazua foleni kubwa daraja la mto wami leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi hichi kidaraja na kinjia cha kupita gari moja kitafanyiwa lini mabadiliko?
ReplyDeleteserikali inakomaa na ujenzi wa madaraja sehemu mbalimbali za nchi hivi hili hawalioni?
pombe magufuli upo wapi? mbona unalifungia macho hili?
hicho kinjia hata barabara ya kunifikisha kijijini kwangu huku ninapoishi ughaibuni ni kubwa pana kuliko hiyo HAIWEI ya hicho kidaraja?
maendeleo tunayopiga debe kila kukicha ni maendeleo gani au ni maendeleo ya kutembelewa na viongozi mashughuli hali ya kuwa nje ya dasalame kumeoza?
aibu aibu aibu hiyo barabara ni muhimu sana inaunganisha watu wa arusha moshi tanga na mpaka mombasa kenya jamani kuweni serious japo nusu pasenti.
Michuzi kwa kweli ni wakati muafaka wa kulifanyia marekebisho makubwa hili eneo la daraja la mto wami, naungana na huyo mdau wa hapo juu. Mi nafikiri utufikishie taarifa hii kwa waziri wa ujenzi tumechoka poteza uhai wetu, na jamaa zetu kwa kitu ambacho kinaweza saidia kuepusha ajali za mara kwa mara. hapo pajengwe daraja mbili moja la kuingia Dar lingine la kurudi tokea Dar. Na kila moja liwe na two ways on time. Tunajua serikali ikiamua inaweza ila ni kama haijaliamulia kulifanyia kazi hili swala, basi tunakuomba tena na tena tufikishie salamu hizi kwa wahusika. Ahsante usiibanie hii komenti
ReplyDeletebora daraja liendelee kuwa la njia moja maana madereva wa Bongo wakipatiwa daraja la njia mbili na mteremko mkali wa hapo darajani Wami, wengi watakufa kwa ajali za uzembe.
ReplyDeletePombe Magufuli njia mmoja ktk daraja Wami ndiyo salama yetu.
Mdau
Mtumiaji vyombo vya moto.