Mhe. Begum Taj, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, akiongoza ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika uliofanyika mjini Algiers, Algeria, tarehe 29/6/2013. Mhe. Balozi Taj aliambatana na Bw. Samwel Shelukindo, Afisa Ubalozi Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania Addis Ababa. Mada ya Mkutano huo ilikuwa Maridhiano ya Kitaifa kama njia muhimu ya kuleta amani na maendeleo Afrika ( National Reconciliation as a critical factor for peace and development in Africa)
Home
Unlabelled
balozi Begum Taj katika mkutano wa Baraza la amani na usalama la umoja wa mataifa nchini algeria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Viti vya Watanzania vilivyo wazi ni kwamba wamekwenda shopping au walichelewa ndege?
ReplyDelete