Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiwa na Rais Barack Obama mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama White House jijini Washington DC
Mama Balozi Liberata Mula mula akipokelewa na mama Munanka baada ya kukutana na kujitambulisha kwa rais Obama huko White house alhamisi.
Balozi Mula mula alitoa shukrani za dhati kwa mabalozi wenzake waliofika kumpongeza pamoja na Mh.EL mbunge wa Monduli na watanzania wote waliokuwapo kwa kuhudhuria hafla hiyo.
Pamoja na mambo mengine alieleza pia kushangazwa kwake na kufurahishwa na mapokezi yasiyo na makuu yalio ya kifamilia zaidi aliyopewa huko White house na Rais Barack Obama na familia yake alipowasilisha hati zake za utambulisho siku ya alhamisi Julai 18.


Mama Balozi Mula mula akiwa na mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa bunge la Tanzania na mbunge wa Monduli Edward Lowassa.


Shamis akiwa na balozi wa Burundi nchini Marekani.Kwa taarifa zaidi bofya www.sundayshomari.com
Hongera sana Balozi Mulamula tunakutakia mafanikio mema katika majukumu uliyokabidhiwa na Mhe. Rais, tunajua kwamba wewe ni mchapakazi na utafanikisha vizuri. Yes you can Madame Ambassador. God bless you and your family. The Kiondos.
ReplyDeletewapiga picha jaribuni kuwarekebisha viongozi wetu kabla yakuwapiga picha. mfano suti ya muheshimiwa inaonekana vifungo vya kati vikiwa wazi.au ndio miondoko ya marekani?.
ReplyDeletemtoa maoni wa pili. Kawaida koti la suti huwa halifungwi vifungo vyote. Sio Marekani tuu ni kwa mvaaji yeyote makini wa suti hivyo mheshimiwa Lowasa yuko poa, amepatia.
ReplyDelete"Anonymous said...'
ReplyDeletewapiga picha jaribuni kuwarekebisha viongozi wetu kabla yakuwapiga picha. mfano suti ya muheshimiwa inaonekana vifungo vya kati vikiwa wazi.au ndio miondoko ya marekani?'"
July 19, 2013
Achana na tabia ya kuwa too much fashionista; hufai!
Kweli, Rais Obama ameipa Tanzania nafasi ya kuwa kwenye jiko la mbele...ikiwa ni pamoja na "fasta, gasta" ya ku-present accredition.
ReplyDeleteMaana ma-balozi wengine huweza kuchukua miaka kabla ya kupata hiyo nafasi kutokana na shughuli nyingi za Rais wa Amerika!
Huo yiko na Shamis sio balozi wa Burundi. Rekebicheni captions zenu.
ReplyDelete