Profesa Joram Biswaro, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Afrika, akikabidhiwa cheti (juu) pamoja na medali (chini) na Mhe. Nkosazana Zuma (Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika) kutokana na kazi nzuri na mchango wake katika Umoja wa Afrika. Mhe. Balozi Biswaro alikwenda kumuaga Mhe. Nkosazana Zuma baada ya kustaafu na kumaliza muda wake wa utumishi Serikalini.
Home
Unlabelled
Balozi wa kudumu katika Umoja wa Afrika Profesa Biswaro amuaga Mhe. Nkosazana Zuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
he looks fit to continue working, whats the retiring age in Bongo? I woark for a govt in another country, there is no retiring age. You decide when to go, so people reitire at 55, 60 and some go even to 70. You don't retire someone because of age. It saves the govt lots of monies as it doesn't need to pay pensions to retirees and many people are encouraged to continue working if they think they are fit. We should change this in Bongo.
ReplyDeleteToo early to retire, I personally don't know the person but for sure the govt could continue employing him under some contract.
ReplyDeleteWabongo kwa kulalamika,mara wazee wapisheni vijana,wazee mtastaafu lini,wazee mmechoka.Tufuate lipi tuache lipi
ReplyDeleteGosh! the guy is super fit! what a waste of government money! we surely need changes in bongoland!
ReplyDeleteMsemaji wa kwanza hapo juu, kabla hujapost maoni yako kwanza rudia kusoma nini umeandika, sasa sijui kama lugha inakupiga chenga au vpi? Pili huyo ni mama hawezi kuwa He, halafu kila kazi ina utaratibu wake wa kustaafu, tafiti kabla hujalaumu.
ReplyDeleteMzee wa Pan-Africanism (Biswaro)ni mweredi katika masuala ya dimplomasia ya Africa, na mambo ya uhusiano wa Africa-Latin American. Serikali wanaweza kumtumia kufundisha Professional Practice katika masuala ya Diplomacy katika Chuo cha Diplomasia Kurasini.
ReplyDeleteKama yeye ni Profesa aende akafundishe Vyuo Vikuu viko vingi vinahitaji Walimu na bado anaweza kuendela kutoa mchango wake kwa Taifa, siyo lazima Ubalozini.
ReplyDeleteMzee Warioba anawashinda vijana wengi.
ReplyDeletePopote duniani, Maprofesa ambao ni erudite ni wazee!!!!!!!!!!!!!!! - Madaktari ambao erudite, pia.
Hata Majaji na waandishi wa habari.
Kweli disdom comes with age, isipokuwa katika siasa tu.