Home
Unlabelled
BARACK NA MICHELLE OBAMA WATUMBUIZWA NA NGOMA ZA KITANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wow! that was very cool of Obama, did you see him nodding his head with the beat? The guy always got rhythm
ReplyDeleteYaani plato alijua kabisaaaaaaa! kuna wa kutumbuizwa na watuimbwizwaji wota katika classes! obama anassuport kwa kichwa na kikwete anatabasamu tu.
ReplyDeleteni muhimu hizi ngoma zetu za tz zikaenziwa na kuwa endelevu kwa vizazi vijavyo
ReplyDeleteTo you Issa-Michuzi!
ReplyDeleteHongera sana kwa kazi kubwa uliyoifanya"this one is one of the best ever Video quality i never wach before!! you did a good job-keep it up
Nimesoma comments za previous page, Najaribu kukuuliza maswali Lkn sipati Majibu. Watanzania mNA Akili gani? Kweli mnaons bora Mchina kuliko mmarekani?Mchina kuliko mmarekani? Acheni kufuata ushabiki wa media, kabla hujamlaumu Obama au marekani. Unatakiwa uijue marekani yenyewe na watu wake. Hamna nchi ambayo iko black and white kama wamerekani, wako straight forward and they care about humanity. Sasa nyie endeleeni kuingiza wachina Tanzania. Miaka 5 ijayo mtakuwa Hamna Tembo Wala vifaru Ukiachana na rasilmali nyingine. Chinese don't care about your black As*
ReplyDeletenakubaliana na mdau hapo juu, ingawa wa Marekani wana urafiki wa kinafiki most of the time (mara nyingi wana hidden agenda) lakini wako bora sana tena sana kuliko wa China.
ReplyDeleteIt 's better to have a smart enemy than.....
Ni mtazamo wangu tu.