Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa (kulia) akishiriki kwenye hafla
ya kufuturisha wateja wa kiislam wa Benki ya Azania ikiwa ni sehemu ya
kuimarisha mahusiano baina ya benki hiyo na wateja wake katika msimu huu wa
Ramadhan
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa (kulia) akizungumza na waumini
wa kiislam (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa wa
Benki ya Azania jijini Dar es Salaam juzi yenye lengo la kuimarisha mahusiano
baina ya benki hiyo na wateja wake katika msimu huu wa Ramadhan. Kushoto ni
Afisa Mkuu Maendeleo ya Biashaara wa Benki ya Azania, Bw. Othman Jibrea.
Baadhi
ya wateja wa Benki ya Azania wakishiriki katika hafla ya kufuturisha
iliyoandaliwa na benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya
benki hiyo na wateja wake katika msimu huu wa Ramadhan. Picha na mpiga picha
wetu.
Watoto
nao walipata nafasi ya kujumuika kwenye hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na
Benki ya Azania ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya benki hiyo na
wateja wake katika msimu huu wa Ramadhan.
Afisa
Mkuu Maendeleo ya Biashaara wa Benki ya Azania, Othman Jibrea akitoa machache
wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi
Rasilimali Watu wa Benki ya Azania Bernard Haule (kushoto) akiwakaribisha
wateja wa benki hiyo kwenye hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki yake
jana ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya benki hiyo na wateja wake
katika msimu huu wa Ramadhan. Kushoto ni Afisa Mkuu Maendeleo ya Biashaara wa
Benki ya Azania, Othman Jibrea.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...