Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ReplyDeletehahahhaa
Yaani Tanzania OMG,, Mungu tuokoe kabisaa we have made a big deal out of Obama coming to Tanzania kila mtu anasema obama obama last 4 weeks it was about lady Jide and Ruke the boss haya ikaja 2 weeks it was all about Team anaconda and team Mwanafatuma now Obama kesho kutwa sijui nini kingine sasa siji kazi tunafanya muda gani.
We need visiting VIPs all year round and our city will be very very clean. May be we can have a special constructed road called VIPs only, then they will not disrupt our routine. This is unabelievable. Karibu Obama but the sooner you leave the better for us.
ReplyDeleteInapendeza kwa kweli! People lets focus on the good and see a bright future out of it! In any relationship if the focus is on the good and not the negativity it stands strong for the partners in it! Long live the relationship bwtn USA and Tanzania. Welcome Barack Obama. Long live our president Jakaya Kikwete?
ReplyDeletesafi kwa kweli inafurahisha sana na ni vyema kutoa pongezi kubwa kwa mheshimiwa jakaya kikwete tukubali au tukatae mheshimiwa kikwete katuletea mafanikio makubwa sana na katufikisha mbali sana kiasi kwamba ni rahisi sana kwa raisi atakaekuja kuja kumalizia tu
ReplyDeleteni vugumu sana kuelezea kila kitu lakini ukweli utabaki palepale mengi tumeyaona kutokana na msimu huu wa mheshimiwa kikwete
tumeweza kucheza na timu ya brazil tumeweza kuwa na uwanja mzuri wa mpira tumepata barabara nyingi mpya tumepata kivuko cha kigamboni ambacho ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa
tumepata ugeni mkubwa hauwezi kusemeka tumepokea viongozi mbali mbali duniani tumepokea matajiri mbali mbali tuniani
mheshimiwa kikwete kaitangaza nchi yetu vyema huko nje na ndani kafanya mengi kama nilivyosema mwanzo ni mengi hatuwezi kuyahesabu
tukumbuke mabasi ya haraka nayo ni jambo zuri na la maendeleo makubwa madaraja
hongera sana mheshimiwa jakaya mrisho kikwete wewe ni mfano wa kuigwa
namalizia tu kwa kusema kwa wale wenye uwoga na marekani kutokana na msemo wa marekani kuwa hawana urafiki wa kudumu ila wana masilahi ya kudumu tusiwaogope kwa hayo nasi tuna mipango yetu.
mungu akujaalie maisha mema marefu na yenye afya njema na furaha tele
mungu ibariki tanzania dumisha umoja na amani.
Nyie wote akina Anonymous mbona mnaandika vizuri lakini mnaogopa kuweka ID zenu kama kweli Bongo na uongozi wake ni mzuri?au demokrasia si ile ninayofahamu kwa hiyo mnaogopa kufatiliwa;basi nami nitaitwa Mr/mrs Anony.
ReplyDeleteNashukuru Rais JK kupata ugeni mkubwa kama huo,na cha maana kesho kutwa atakapoondoka tukae chini na kuwaeleza Watanzania nini wame/watafaidika na miradi/mikataba atakayotiwa sainikati yetu na USA.Tenda zote zitangazwe wazi na kila mtu bila kujali dini,chama,kabila,undugu n.k.na cha zaidi kupiga vita rushwa