Bondia Mtanzania,Omari Kimweri  anaefanya shughuli zake nchini Australia (kulia) akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga Ekkalak Saenchan  wa Thailand kwa KO raundi ya kwanza.

Bondia Mtanzania,Omari Kimweri  anaefanya shughuli zake nchini Australia (kulia) akimsukumia makonde mazito mfululizo bondia Ekkalak Saenchan  wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2013

    hongera sana kwa kutuwakilisha vyema,ombi taifa stars ivunjwe tujikite huku

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2013

    HONGERA SANA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2013

    Good..Safi Sana. Utuletee Makombe na Mikanda Hapa kwetu. Hongera Sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2013

    Ni bondia wa Australia mwenye asili ya Tanzania.Details hizi hapa:

    Name: Omari Kimweri
    Alias: Lion Boy
    Birth Name: Omari Idd Kimweri
    Born: 1982-09-22 (Age:30)
    Birthplace: Dar-Es-Salaam, Tanzania
    Nationality: Australian
    Hometown: Deer Park, Victoria, Australia
    Stance: Orthodox
    Height: 4′ 11″ / 150cm
    Boxing Record: click

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2013

    Sie utatuweza kwa kudandia gari kwa mbele!eti Mtanzania haya sasa mdau katuweka sawa,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...