Cheki wasauzi wanavyomiminika kwa wingi ndani ya Pipa kuja bongo. Hapo ni Oliver Tambo international airport kama walivyonaswa na Kamera ya Globu ya Jamii leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2013

    Bongo tutapokea wengi saaaana!

    Ila cha ajabu nawashangaa ndugu zetu waliopo Ugiriki kuliko kwisha filisika Kiuchumi na Kifedha wanakuwa wagumu kurudi Nyumbani Bongo.

    Ama kweli paka ni mnyama wa ajabu ukitaka kumuingiza kwenye gunia inakuwa kazi ya ziada na hata akiisha ingia kumtoa kutoka ndani ya gunia ni mbinde pia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...