Kushoto ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake David Mosha "The C.E.O" aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Marekani.
Kulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika ofisi za VOA.
Kushoto Julieth Luangisa, Alex Kassuwi, Edgar na baba yake Davis Mosha.
Davis Mosha akifanya mahojiano na VOA.
Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com


Huyo nae si ampeleke huyo mtoto lipuli wanatafuta wachezaji. kila mtu majaribio chelsea. jikune unapoweza
ReplyDelete