FAINALI KWA WASICHANA 

Jumamosi , Tarehe 03 Agosti 2013,
Saa 3:00 ASUBUHI
Ukumbi: Star Light Hotel Hall
(Waalikwa Wanawake tu).
FAINALI KWA WANAUME
Jumapili , Tarehe 04 Agosti 2013,
Saa 3:00 ASUBUHI
Ukumbi:Diamond Jubilee Hall
(Waalikwa Wanaume na Wanawake).

Changia kuendeleza kuhifadhisha QUR’AN Tukufu Tanzania kupitia Mtandao wetu   www.quran.or.tz

Tunawashukuru na kuwatakia Funga Njema yenye Baraka na kukubaliwa Dua zetu ambazo tunazo ziomba , Amiin .
Karibuni Sana  Tutafurahi sana kama Wadau wa Blog ya Jamii mkiongozwa na kaka Michuzi na Timu yako kuhudhuria kwenu .
Kwa Niaba ya Kamati ya Maandalizi.
Ghalib Nassor Monero l Azhary

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...