Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet akiwapungia mikono wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya Uganda 'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet akiwasalimia wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya Uganda 'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo. Uganda Cranes wameshinda bao 1-0
Karibu nyumbani hasheem, majonzi kwa kupoteza mechi muhimu ya leo.
ReplyDeleteWas demoralized after reading Samata and Ulimwengu will not join the team. I might be wrong but i guess they have a potential influences in their presence.
ReplyDeleteTutaishia kusindikiza wenzetu kila mwaka
ReplyDeleteHuyu Hashim kumbe ni Chadema? Manake anapiga People's Power.
ReplyDeletembona taifa stars wanafungwa kila siku?
ReplyDelete