Home
Unlabelled
HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWENYE KONGAMANO LA KITAIFA KUJADILI AMANI 10 JULAI 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhe,Rais JK,tunashukuru kwa hotuba yako,haswa unapowataja washirikishwaji katika mjadala huu kama ulivyo wataja waandishi wa habari,wengine hapa wakushirikishwa ni wasanii kama vile wanamuziki,
ReplyDeleteWanamuziki midomo yao!
Tunashukuru kwa kumkumbuka Mh. Augustine Lyatonga kwa kumhidhinishia mafao yake. Huu ni mfano wa kuigwa.
ReplyDeleteKuna taasisi moja hapa DSM,kwa sabb ya kudhurumu mafao, ilianza kunyanyasa wafanyakazi wake wa muda mrefu, wengine wakaacha kazi kwa manyanyaso waliyopata.
Ilifanya hivyo ili mafao yao yatumike kwa kazi zingine kama mikutano na safari za viongozi wa juu wa taasisi hiyo.
Hii ni laana kwa taasisi .Watu walitumikia muda mrefu,wengine zaidi ya miaka 12, lakini viongozi ambao waliajiriwa ,hata mwaka hawana ndio wanaongoza kunyanyasa waliowasafishia njia.
Ee mola wetu mbariki Dr Kikwete kwa kuliona hili la mafao,na walaaniwe wote wanaopenda kula jasho la wenzao
Tanzania Kisiwa cha Amani, hii ni Urithi Mwalimu Nyerere alituachia.
ReplyDeleteNdugu watanzania nchi yetu inasifa duniani kwa kuwa nchi yenye msimamo wa Amani.
Tanzania ni nchi ambayo upokea Wakimbizi kutoka DRCongo,Burundi,Rwanda,Uganda n.k...
nafkiri wazo la busara la Rais Jakaya Kikwete kuwaambia Wajumbe wa Umoja wa Mataifa mjini Addisa Abeba, kwamba Rwanda na Uganda lazima wazungumze na Waasi wao,hili ni jambo la busara ili Bara la Afrika lizidi kusonga mbele kwa amani.AMANI ndo maedeleo vita uvunja maendeleo.
Sasa Mhe, Rais kwa nini usimpe Mhe Mrema hii nafasi ya mambo ya ndani ili tuone mambo yatakanyo kuwa? ya Amani ya Nchi yetu.
ReplyDelete