Tafadhali usikose kujiunga nasi leo Ijumaa tarehe 12/7/2013 ifikapo Saa Nane Kamili hadi Saa Tisa Kamili (2pm-3pm) kwa mahojiano ya moja kwa moja ( Live Chat) na mkali wa Vodacom Chiku a.k.a Vitamin D+.
Chiku ataongelea mambo mbali mbali yakiwemo namna ya kushiriki zoezi la kuwa Mkali wa Vodacom na fursa alizopata kama Mkali wa Vodacom. Kuwa live na Mkali wa Vodacom leo
Home
Unlabelled
Ongea na Mkali wa Vodacom Chiku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...