Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimsikiliza Afisa Biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge wakati alipotembelea banda la TTCL katika Maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa (sabaraba) yanayoendelea hivi sasa jijini Dar es Salaam.
Mfalme Mswati III wa Swatziland na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Idara ya Huduma na Bidhaa zitolewazo na TTCL Bw. Ernest Isaya wakati walipotembelea katika Banda la TTCL katika Maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa (sabaraba) yanayoendelea hivi sasa jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo ya kina kuhusu Mkongo wa Taifa unavyosaidia kurahisisha biashara kwa njia ya mtandao, elimu-mtandao, matibabu-mtandao pamoja na kuunganisha n.k.
wateja wakifurahia punguzo kubwa la bei za simu za mkononi kwani kuanzia shilingi elfu tano tu unapata simu.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wakati wa Ufunguzi rasmi wa maonesho ya 37 .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...