Ijumaa hii isumba lounge, Night of the Legends vunja jungu special. Njoo tu-dance tu-enjoy na DJ JD, DJ Fast Eddy na DJ Y Kelvin. Jmos gentlemen watapata nonstop cd na 50 ladies wataofika kabla ya saa 6 usk watapata glass ya wine mlangoni. Entry 10k, doors open 9pm. Karibu isumba this friday n saturday.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...