Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University.
Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95
na 96 kama vinavyoonyeshwa katika ramani hiyo.kiwanja namba 95 ukubwa
wake ni 2431 sm na namba 96 ni 2766 sm square mmiliki ni mmoja na kuna
miti na nyumba, bei 450 milioni.
Mawasiliano zaidi ni +255 757181351,
Madalali hawahitajiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...