Blogu yako ya
inayotoa habari za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii, inakuletea kampeni ya ‘Share your experince’.
Ambapo wadau, watu binafsi na makampuni ya tours mnaombwa ku-share picha zenu za good moments, matukio mbalimbali ya safari za kwenye hifadhi na vivutio vingine vya utalii, picha za safarini kwenye ndege, ushuhuda wa safari zenu (testimonies) na picha za mazingira mbalimbali.
Share experience yako, kupitia blog yako ya tabianchi, emailkingkahindi@gmail.com, au tupia kwa fb tabianchi
Asante sana!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...