Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto)
akimsikiliza kwa makini mmoja wa maafisa wa juu toka muungano wa makampuni ya
Dangote, Bw. DVG Edwin mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maafisa wa kampuni hiyo kubwa
barani Africa walikua nchini kwa ziara ya kikazi. Kampuni hiyo inaendelea na ujenzi wa kiwanda
kikubwa cha simenti mkoani Mtwara.
Home
Unlabelled
bosi wa TIC akutana na afisa wa Dangote jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...