Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Karabagaine, Bukoba asubuhi ya Leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Karabagaine, Bukoba asubuhi ya leo.
Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Bukoba, Mhe. Jaji Mjemmas akisoma risala wakati wa uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Karabagaine Bukoba mapema leo,kushoto ni Jaji Mkuu waTanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kushoto kwa Jaji Mkuu ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu, wa pili kutoka kulia ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Mhe. Khaday na wa kwanza kulia ni Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Benedict Mwingwa.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu akimkaribisha Mhe. Jaji Mkuu kuongea na Watumishi wakati wa uzinduzi rasmi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Karabagaine,kushoto ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas Kitusi, wa kwanza kushoto ni Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Panterine Kente.
Muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo KARABAGAINE, Bukoba lililozinduliwa rasmi leo na Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande.
Jaji Mkuu wa Tanzania, wa pili kutoka kushoto,akiwa Katika picha ya pamoja na Maafisa wa Mahakama Mara baada ya kuzindua rasmi. ( picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...