Hello, 

How are you? I hope everything is well with you. I am presently in Istanbul Turkey on an International World Water conference. I am so deeply sorry for not contacting you sooner, I mean to reach out to you sooner.This conference is focusing attention on the importance of freshwater and advocating for the sustainable management of freshwater resources. I can't access my bank account right here, kindly assist me with $5,000 which I will refund to you when I return. Thank you for your understanding and I sincerely hope that you can assist me asap so I send to you the bank details of my turkish accountant, Mr Erhunmwunsee. 

Best regards,
nurdin ndimbe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2013

    Huyu aliyelizwa masikini hayuko informed na mambo ya utapali wa namna hiyo. Mbona wa siku nyingi.....pole sana. siku hizi ubinadamu umeisha .

    Ukiona binadamu na heshima zake anafanya mambo ya ajabu, ujue sio yeye tu. na ujue wale wa kawaida wameoza.

    Dunia basi tena

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2013

    Napenda kuwafahamisha kuwa email hiyo siyo ya kweli na mimi nipo hapa Dar naendelea na shughuli zangu na kama kawaida,sijasafiri kwenda kokote.Hao ni matapeli tuu wa mitandaoni wanachafua tuu majina ya watu.Samahani kwa usumbufu wowote utakaotokea
    Regards
    Nurdin Ndimbe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    That is Email Spoofing! Cha msingi wakuu kama mnatumia Email accounts za Yahoo, Gmail etc Hakikisheni manapata Verification Certificates, Meaning mkituma email Jamaa wa Yahoo, Gmail etc wana deliver na verification Cert so mpokeaje anakuwa anajua kweli umetuma wewe email yako inakuwa verified. ni simple sana. kama hamjui contact me @ gtheangel_1@yahoo.co.uk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...