Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2013

    Hata UK kesi hazitakiwi kuongelewa. Magazeti ya mitataoni ya UK huwa inaondoa sehemu ya kuwekea maoni kwenye habari zilizo mahakamani. DNA imeanza miaka ya 2000 huko USA, sasa kabla ya hapo walikuwa wanahukumiwa vipi? Tanzania kuna sheria ambazo zinategemea ushahidi wa mashahidi na vithibiti. Rushwa ipo Tanzania na huko USA pia ipo. Hivi sasa UK kesi ndogo ndogo za kuiba £100 mpaka £50,000 askari wa UK hawapotezi muda wao. Polisi USA wanauwa raia bila ya kosa, wanabaka na wanashiriki katika kuuza madawa na hata kuwalinda makahaba. Kila nchi kuna rushwa. Profesa mmoja wa Kijerumani kaniambia rushwa za nchi masikini ni pesa ndogo lakini nchi tajiri rushwa huwa pesa nyingi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2013

    Nyie mnaopinga nn hao kina nguza kufungwa??hivi hamuwafikirii watoto wa wenzenu walivyolawitiwa???Hao hilo kosa walifanya msitake kujifanya eti nyie mnajua sana..kuna watu wamekaa wamechunguza ndo maana hukumu ikatolewa hivyo...acheni ufala imagine mtt wako wa kike alawitiwe ungekubali haswa ww mwenye jezi Man U.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2013

    Anonymous wa kwanza DNA haijaanza USA ilianza UK fanya research, usilolijua litakusumbua na anonymous wa pili ukizungumzia watoto wa kike wanaokuwa abused Tanzania pia halijaanza leo na jana kama ni mtoto wa mjini utamkumbuka Jamila aliyekuwa anaimbwa kwenye mdundiko alikuwa ni mtoto tu ambae alikuwa abused. Na kama haki inatendeka hatuna jela za kuwafunga hao wahusika maana hata kujificha hawajifichi kweli kesi ya kina Nguza ina maswali mengi tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2013

    Jabir hebu toa kauli yako kwanza ya watu wanaoandamana ni wezi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...