Home
Unlabelled
kumbukumbu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi amin
ReplyDeleteInna Lillah waina ilaihi rajiuun,, post hii imenigusa mpaka nimelia offisini,, mimi pia nimefiwa na mke wangu kipenzi mwaka 2009,, mpaka waktai anakata roho alitamka kuwa ananipenda sana ila hana jinsi, amekufa nikimuona mke wangu na kwa kweli alinipenda nikampenda ila Mola alimpenda zaidi.
ReplyDeletenimegushwa nimelia,, kufiwa na mke au mume ni mtihani mkubwa toka mwaka 2009 mpaka leo bado nalia kifuani mwangu natabasamu lakini ndani nalia
ReplyDeletepole sana mzee wa bunju.
ReplyDeleteTuweke imani na tukumbuke tu kuwa kila nafsi itaonja mauti Ishallah Mungu atuzinduwe tuepukane na ghururi ya dunia ili tufikie mahali pema tutaporejea kwake
ReplyDelete