
Karibu katika sehemu ya kwanza na ya pili ya mahojiano kati ya Sunday Shomari na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Siku ya Jumatano Julai 17, 2013 jijini Washington DC.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalau unaweza kujivunia kuwa Sunday shomari anaijua kazi yake na hii itawasaidia sana waandishi wa habari wengine kujua la kufanya wanapokutana na viongozi.
ReplyDeleteKazi nzuri sunday shomari.
Go Lowassa Go.....
ReplyDeleteKuanzia 2015 tutakuwa tunapata press conferences nzuri sana.