Mdau Charles Kaiza akiwakilisha kwenye Carnival 2013 huko Baltimore Maryland.
Maandamano yakiwa yamechanganya kama mdundiko.
Kwa picha zaidi bofya Sundayshomari.com
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Mdau Charles Kaiza akiwakilisha kwenye Carnival 2013 huko Baltimore Maryland.
Maandamano yakiwa yamechanganya kama mdundiko.
Kwa picha zaidi bofya Sundayshomari.comTanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namwona na shabiki wa Mzee Mswati yupo kumuwakilisha
ReplyDeleteHivi kwanini? Ngoma ya asili ya Dar,
ReplyDeletemdundiko ilipigwa marufuku bila ya sababu za msingi! wakati nchi za wenzetu bado wanadumisha ngoma kama vile "Samba" la Brazil,