Mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa M23 yanazidi kuhusu wananchi wa vijiji ambao wanalazimika kupigana kulinda miji yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2013

    Imani ya hizi dawa zao zatia huruma
    At least they die without fear
    Ibrahim

    ReplyDelete
  2. Mafahali wanapo twangana zaumia Nyika. Binti anajigamba wao vijana walikuwa mbele na Askari nyuma. Bila kutambua Askari waliwaweka mbele kama decoy. Ujinga huu ndio umaskini unaotutafuna Africa na hasa DRC!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2013

    Yaa rabi, wape matumaini watu wa kongo, Yaa rabi wape matumaini watu wa somali, Yaa rabi wape matumaini watu wa Tanzania.Kongo wameteseka sana ewe mola, wape nafuu japo kiasi ili nao wafurahie kuwepo kwao hapa duniani,wape ufahamu mpya hawa wanaojiita rebels ili wafahamu kwamba kuna njia mbadala pia ambayo igharimu uhai wa wanyonge.Yaa rabi, nakuomba unipokelee maombi haya ktk kipindi hiki maalum na wakati muafaka.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2013

    Nakumbuka vita ya MAJIMAJI,Wamatumbi na wangoni walivyo uawa wakiamini risasi itageuka maji punde tu ikigusa miili yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...