Mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa M23 yanazidi kuhusu wananchi wa vijiji ambao wanalazimika kupigana kulinda miji yao.
Home
Unlabelled
Mapigano yatishia wengi DRC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Imani ya hizi dawa zao zatia huruma
ReplyDeleteAt least they die without fear
Ibrahim
Mafahali wanapo twangana zaumia Nyika. Binti anajigamba wao vijana walikuwa mbele na Askari nyuma. Bila kutambua Askari waliwaweka mbele kama decoy. Ujinga huu ndio umaskini unaotutafuna Africa na hasa DRC!
ReplyDeleteYaa rabi, wape matumaini watu wa kongo, Yaa rabi wape matumaini watu wa somali, Yaa rabi wape matumaini watu wa Tanzania.Kongo wameteseka sana ewe mola, wape nafuu japo kiasi ili nao wafurahie kuwepo kwao hapa duniani,wape ufahamu mpya hawa wanaojiita rebels ili wafahamu kwamba kuna njia mbadala pia ambayo igharimu uhai wa wanyonge.Yaa rabi, nakuomba unipokelee maombi haya ktk kipindi hiki maalum na wakati muafaka.
ReplyDeleteNakumbuka vita ya MAJIMAJI,Wamatumbi na wangoni walivyo uawa wakiamini risasi itageuka maji punde tu ikigusa miili yao.
ReplyDelete