Baadhi ya akina mama wakiwa katika shughuli zao mbalimbali za kibiashara katika soko kuu la zamani la jijini Mwanza, eneo la barabara ya Pamba road mapema leo kama walivyonaswa na Globu ya jamii ilipokuwa ikijivinjari maeneo hayo.Akina mama hao kama waonekanavyo pichani wakiwa katika biashara ya kuuza mboga mboga katika suala zima la kujitafutia mkate wao wa kila siku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2013

    Hayo mazingira mbona huyazungumzii? Au unaona ni sawa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2013

    HAYA MAZINGIRA NI SAWA,KWANI WEWE UMEZALIWA WAPI?HII NDIYO BONGO YENYEWE.MDAU CHATHAM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...