Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akifungua rasmi Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC) kati ya Tanzania na India unaofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency-Kilimanjaro kuanzia tarehe 08 hadi 09 2013. Mkutano huo unaowashirikisha Wadau kutoka sekta mbalimbali za hapa nchini na India utajadili pamoja na mambo mengine masuala ya ushirikiano katika sekta za Uchumi, Ufundi, Sayansi na Teknolojia, Elimu, Afya, Utalii, Kilimo na Nishati na Madini. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA TUME YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA INDIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Seriously I can not understand this type of ministers.
ReplyDeleteAnasema watanzania 2500 wameenda India kwa matibabu mwaka 2012, so India should consider a flight from Tanzania straight to India.
Huu ndo uwezo wa kufikiria wa mawaziri wetu. Huyu ndo anataka kugombea urais 2015. Inasikitisha..
Maswali ya msingi yanayotakiwa kujibiwa ni:-
- Kwa nini watanzania 2500 hawakutibiwa Tanzania, na badala yake walisafiri kwenda India.
- Watanzania 2500 in asilimia ndogo sana ya watanzania, vipi asilimia 99 iliyobaki, wenyewe tunawasaidiaje?
Ndiyo maana nashawishika kusema tunahitaji kusafisha wizara zote. Tuweke watu wanaoendana na mahitaji ya dunia ya sasa.
-