Mfalume Mswati III wa Swaziland akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi Rasmi wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dares Salaam(Kushoto kwa King Mswati III) ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda.
Mfalume Mswati III wa Swaziland(katikati) akiwa amesimama na Meza Kuu wakiimba Wimbo wa Taifa la Swaziland leo katika Uzinduzi wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa pili kulia)ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda.
Mfalume Mswati III wa Swaziland akiingia katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimayaifa tayari kwa Uzinduzi Rasmi akiwa ameongozana na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda.(Picha na Lucas Mboje)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2013

    kwanini hawanguo kwao ni sumu? si hizo mila zao za kwenda uchi wazifanyie kwao bwana wakija nchi za watu wavae suit kama wenzao? aaaahhh..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2013

    mkataa kwao mtumwa...ndugu yangu. I really admire this man..hii ni mila yao na inaelekea vazi hili la kimila lina sehemu zake maana jana kuna picha alikuwa katinga suti. So wewe mdau hapo juu acha kasumba na ulimbukeni.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2013

    Anony wa kwanza hapo juu unasema kweli au unatania? Kama unasema kweli basi kichwa chako kimejaa nanii.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2013

    huyu jamaa mbwembwe tu. Alipiga suti juzi vizuri tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...