Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya UraniumOne ambao ni Wamiliki pia wa Mantra Tanzania,Chris Sattler akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mambo mbali mbali yanayohusu Mradi wa Mgodi wa Madini ya aina ya Uraniaum,unaotaraji kuanza kujengwa baada ya taratibu zote kukamilika.Mgodi huo upo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Selou, Mkuju Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma.
CHINI MAELEZO YA KUYAFAHAMU MADINI YA URANIUM
Mheshimiwa Michuzi assalaam alaykum, naomba kama tungepata kaimu ya misamiati ya kitaaluma iliyotumika katika makala haya ili wengi wetu tuweze kufaidika kwani watanzania tumefundishwa masomo ya kemia na fizikia kwa lugha ya kiingereza, hivyo basi tukitafsiriwa makala ya kitaaluma yoyote wengi wetu tutatatizika kwa misamiati inayotumika.
ReplyDeleteAhsante nakutakia Ramadhaan njema.
Ibrahim.
HONGERA MTUNZI, KWA KAWAIDA KITU KIKIANDIKWA KITAALAM HATA KAMA KIINGEREZA, KICHINA, KIJERUMANI, KIRUSI N.K. NI LAZIMA KUNA MANENO ITABIDI TUTAFUTE MAANA YAKE HALISI KWA LUGHA ZINZOELEWEKA (ZA MITAANI). TUIENZI LUGHA YETU
ReplyDelete