Home
Unlabelled
Mwanandinga George Masatu alonga na Globu ya Jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
2 Pac shakur-Mzee wa ngenga
ReplyDeleteGeorge Masatu umeshakuwa mwanasiasa. Hussein Masha yupo wapi siku hizi?
ReplyDeleteWasikilizaji sasa tunajiunga na uwanja wa taifa kusikiliza mechi ya timu ya tupwisa lindanda wana kawekamo kutoka Mwanza na dar young african. Asante Sana Asante sana kutoka studio Huyu Mimi ni mtangazaji wako Omar jongo pamoja nami ni Charles hilal tukiwatangazia kutoka uwanja wa taifa.... Uwanja umejaa kweli kweli hapa... Namuona George masatu na Hussein Marsha wakipiga jaramba pale na kubadilishana mawili matatu Huku Fumo felician akifunga viatu vyake sawasawa tayari kwa mpambano.... Yanga nao wako vizuri lakini salum kabunda ninja na Godwin aswile hawatakuwepo kwa sababu ni majeruhi.... Yanga ndo watakaoanza mpambano huu namuona Mohamed' Hussein mmachinga yuko tayari kabisa pale pembeni yake tungaraza pale.... Mpira ndo umeshaanza wasikilizaji na namwachia mwenzengu Charles hilal kuendelea na mchezo huu.......
ReplyDeleteAliwahi umia kisigino kwa kuokoa goli....hakupewa treatment nzuri nakumbuka....moja kati ya watu bora sana kwenye historia ya soka letu!!safi sana!!
ReplyDeleteHawa Jamaa wangekuwa ndio wanacheza sasahivi, nadhani tungefika mbali maana enzi zao hata barafu tu yakupunguzia maumivu ilikuwashida, mshiko ndio usiseme. Lakini vijana wetu wa sasahivi kidogo tu mambo siyo mabaya hata magari wanayo lakini tatizo lao ubishoo mwingi kwelikweli. Jina likivuma siku mbili ya tatu anaanza kuvurunda, mazoezi hataki tena kumsikiliza mwalimu anaona kunyaa.
ReplyDeleteLakini bwana kwa anayetaka kutoka kimchezo azingatie nidhamu ya mazoezi na kufanya mazoezi ya ziada hasa katika suala la zima la stamina na tactics za mchezo hapo atatoka tu.
I always feel proud seeing you guys back, retrieving those good memories. GM has proved to be one the best centre half of our time. You, together with players like Husein Marsha and others, will be remembered for the love nd dedication to our nation. Keep it up and try to implant that good combatting spirit to our young stars. We need to see good standard football and not only "polojo". All the brst then in your new carrier in your lovely country Tanzania.
ReplyDeleteMan, memories are treasure for sure. Huyu jamaa na Hussein Marsha walichangamsha Kilumba. Baada yao things have never been same
ReplyDeleteAhsante saana mchangiaji # 2 kwa mchango wako.Wakati ninasoma maneno uliyoyaandika yamenikumbusha siku za mipambano Kati ya wana kawekamo.Ndugu yangu unakumbukumbu
ReplyDeletehalisi za maneno waliyokuwa wakiyatumia watangazaji.Masatu ninauheshimu mchango wako wa kuliputa kabumbu la bongo,ninakumbuka magoli uliyokuwa unayaokoa yaliyokuwa yanaelekea kimiani.Mimi Ni mshabiki wako mkubwa.