Naibu waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge akitia saini katika kitabu
cha wageni katika ofisi ya kata ya Mbokomu wakati akifanya ziara ya
kukagua miradi ya maji katika wilaya ya Moshi vijijini.
Naibu waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge akitembelea kukagua miradi ya
maji ya Mbokomu wilaya ya Moshi vijijini.
Wakandarasi wa ujenzi wa matangi ya maji katika mradi wa Mbkomu
wakibeba nagazi ambayo naibu waziri alitaka kupanda juu ya Tangi hilo
kujione ujenzi ni wa kiwango kinachohitajika ama la.
Kisha naibu waziri wa Dk Mhenge akatembelea chanzo cha maji kilichoko
mto Whona ambacho maji yake yanatumiwa na wakazi wa mji wa Himo.
Wakazi wa Himo wakichota maji kwa ajili ya matumizi ya Nyumbani na biashara.Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
bora naibu afanye ziara hii kwa sababu maji ya moshi si mazuri hata ya arusha yana too much madini na ndo maana wakazi wa huko wanakuwa na meno manjano si kukashifu lakini ni ukweli wa mambo
ReplyDelete