Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmshauri ya Mji wa Babati Mjini Mkoani Manyara, Bw. Janes Dabare (kulia) akichangia hoja katika eneo la mihimili ya Dola katika Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji huo jana Ijumaa (Julai 26, 2013).
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara wakiwa katika mjadala wa kuipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji huo jana Ijumaa (Julai 26, 2013).
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmshauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Bw. Askari Emeda (kushoto) na Bi Zubeda Iddi wakisoma vipengele vilivyopo katika Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji huo jana Ijumaa (Julai 26, 2013).
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara Bw. Simon Mahenge akichangia hoja wakati wa mkutano wa kuijadili Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika jana (Ijumaa Julai 26, 2013).
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
katiba mpya ina wanufaisha wana ccm na viongozi wake si kwa ajili ya vyama vinginewe na wazanzibari period so tumeshaichambua na kuona mchana kweupe
ReplyDelete