Kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinatarajiwa kutingisha jukwaa la Jambo Seeheim usiku wa jumapili 28.Julai 2013 kuanzia saa 2.00 usiku
katika ukumbi wa Sport & Kulturhalle uliopo Berg Strasse,mjini Seeheim-Jugenheim,huko Ujerumani.
Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya itavaana tena jino kwa jino
na washabiki wa muziki katika International African Festival tubingen 2013 siku ya
ijumaa ya 9 na 10 .08.2013 mjini Tubingen,South Germany.
Wadau kaeni tayari tayari kwa gwaride la FFU wa Ngoma Africa band.
msikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
Home
Unlabelled
Ngoma Africa band kutumbuiza Jambo seeheim Festival ,28.07.2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Si mchezo FFU tena viwanjani? Kamanda mwana wa makunja na kikosi kazi ffu
ReplyDeletekamanda mkuu ras makunja aka jemadari mtawala wa imaya ya anunnaki,naona sasa kumekucha
ReplyDelete