Kaswida -Madrasa istwam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2013

    Kwanza niwatakie mfungo mwema na mtukufu ndugu zetu Waislamu.Assante Ankal,Mimi ni mpenzi wa Kaswida tangu nikiwa mtoto mdogo,hasa Kaswida zinazoimbwa na watoto wadogo miaka 5-13.Kijijini kwetu(jina kapuni) kwenye sherehe za ndugu zetu waislamu kuna kitu 'hatari' walikuwa wanacheza kinaitwa DUFU(DUFF?),ilikuwa burudani.Wanacheza kwa kugonga uso chini na kunyanyuka.....Bado ipo hii kitu au imeondoka na Utandwazi?

    David V

    ReplyDelete
  2. Mabanati wanalipiga Dufu (ما شاء الله) . Qasida pia nzuri ila imeishia njiani. Nawatakia RAMADHAN KAREEM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...