Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hivi sasa inaendesha zoezi la uchukuaji alama za vidole, kuweka saini za kielektroniki na kuwapiga picha wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam, ikianzia na wilaya ya Temeke. Hivi sasa zoezi hili linafanyika katika kata za Charambe, Kiburugwa, Mbagala Kuu, Toangoma na Kijichi.
Home
Unlabelled
NIDA yaendelea na zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
At last, je kwa walio nje ya nchi inakuwaje? tupeni mwongozo.
ReplyDelete