Mshindi wa Model of Tourism Arusha 2013,Veronia Chami akiwa katika pozi mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo lenye mahadhi ya kitalii na kuutukuza urithi wetu tulionao.
Mshindi
wa Model of Tourism Arusha 2013, Veronia Chami akiwa na uso wa furaha mara baada ya
kushinda kwenye mashindano na kuvishwa taji la kuwakilisha mkoa wa
Arusha kwenye fainali itakayoshirikisha washiriki wengine kutoka mikoa
20 ya Tanzania,pembeni ni Meneja masoko na mauzo wa kampuni ya
Megatrade Bw.Goodluck Kway ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano hilo
wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...