Ndugu zetu katika iman, kwanza twamshukuru Allah kwa kutuwezesha kukamilisha hatua za awali za mkakati wa kununua jengo letu wenyewe. Shukrani nyingi pia zikufikieni kwa michango yenu ya kila aina.
Inshaallah taratibu zetu za Ramdhan zinaendelea na mwaka huu zinafanyikia kituoni kwetu hapo 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL.
Alasiri inasaliwa saa moja jioni (7.00pm) na darsa zinaanza moja na robo jioni (7.15pm) kisha futari inaanza mara baadal Maghrib
Tafadhali waweza kuchangia kwa kuwasiliana na Ustadh Farid 07792174408.
Siku: kila JMOSI na JPILI.
Tafadhali sambaza taarifa
Jzkl Lah khayr
AN NOOR COMMUNITY CENTRE LEICESTER.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...