Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
...Akiwakagua Yanga.
..Akiwakagua Simba.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara, marefarii na manahodha wa Simba na Yanga.
Vikosi vya Simba na Yanga.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2013

    Inatia moyo kwamba waheshimiwa wameona umhimu wa mazoezi badala ya kubweteka na kulea vitambi, wakiendelea na utaratibu huu bila shaka watafikiri vizuri zaidi. Hongereni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2013

    Good move Mr.President....Nimependezewa sana na uwepo wa MheshimiwaRais katika mkusanyiko huu. Ni Rais wetu na anajitia kushiriki katika hata michezo ambayokwayo inaboresha sana maisha afya na mshikamano kwa ujumla.Mungu bariki nchi yetu watu wake na Viongozi wetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2013

    Ukiona mpaka saa hizi ankal hajaweka matokeo basi ujue mnyama kashachezewa ushanga huko Bongo. Sisi wa ughaibuni tunajua kusoma alama za nyakati.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2013

    Mdau wa 3 Simba amelaliwa kihalali kabisa jana.

    Ni kitu kinacho julikana ya kuwa Kibonde wa Yanga SC ni Simba SC.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2013

    Yanga BUNDUKI babake!

    Mwanzo mwisho yaani hata wajikusanye Wavuvi wa samaki huko Majuu Ughaibuni Yanga na Simba, utaona Simba wakilaliwa pia wakigandamizwa vibaya kabisa na Yanga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...