Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya bilauli toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala wakati washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya nembo toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja  Jenerali Charles Makalala wakati washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2013

    Congrats Kikwete for good defence

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...