Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakati alipoziandua kinu chao cha kukoboa kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawenge wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa Deo Filikunjombe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...