Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe Tony Blair na mkewe Cherrie Blair
alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.PICHA NA IKULU.
Blair huyo; kajaaliwa kuzungumza lakini ni hatari sana.Ni vyema anayezungumza naye awe ameshaainisha INTEREST zake na "NEGOTIATION" yeyote iwe ndani ya hiyo "INTEREST". Kama nipe nikupe ni vyema kuthaminisha unachotoa na unachopokea; nje ya hapo ni blah blah. Na huyu ni hatari sana kwa Watanzania na Tanzania kwa ujumla. Anafikiria kwa maslahi ya Uingereza tuuuuuuuuu lakini hatokuambia kama anafikiria hivyo, anaweza jifanya anatuonea huruma; lakini wapi---kaba shingo ya watanzania
ReplyDeleteBlair is the best politician in the history of politics, the likes of him is not yet seen.The world need people like him, but is not easy to find someone like him.clever, intelligent and hard working man. god bless you blair.
ReplyDelete