Meneja
mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili
kulia) akimpigia simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa kucheza
droo kwa wateja wa kila mwezi wa bidhaa za kampuni hiyo,ambapo mkazi
wa Dar es Saalaam, Goodluck Mumvuri alijishindia.Kutoka kulia ni Kutoka
kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari
Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa
bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (katikati) na
Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas wakionyesha simu mpya za
Galaxy Star ambazo ziligawiwa kwa wanahabari kwa njia ya kuchezesha droo
ya bahati na sibu.Kushoto ni Mwakilishi wa Bahati na sibu ya
Taifa,Mrisho Milao.
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto) akimkabidhi
simu,Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo,Theopister Nzanzugwanko mara
baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy
Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto) akimkabidhi
simu,Mwandishi wa Gazeti la Majira,Charles Lucas mara baada ya kushinda
kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy Star.Katikati ni
Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...