Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa ibada.
Ibada ya kumuimbea marehemu David Majebelle ikiendelea kanisani.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle ukishushwa kaburini.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto), akiweka shada la maua
kwenye kaburi la marehemu David Michael Majebele, wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu
Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita.
Familia ya marehemu David Michael Majebele, wakiweka mashada yamaua
katika kaburi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kinodnoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari
mkongwe alifariki Jumapili iliyopita.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Familia ya marehemu David Michael Majebele, wakiweka mashada ya
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...